Mkazi wa Mtaa wa Majengo ‘B’ mjini Mpanda, Cesilia Clement (22) ameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu mwilini na mpenzi wake, aliyemtuhumu kutomjali baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamume mwingine.
Mtuhumiwa aliyefahamika kwa jina moja la Kanu, ambaye ni mkazi wa Kigoma naye amejijeruhi vibaya kwa kujikata koromeo, alipojaribu kujichinja baada ya kubaini kuwa amemuua
↧