DEREVA mmoja wa basi la Princes Munaa linalofanya
safari zalke toka Mwanza-Dar, Bw. Hamidu Juma anadai kupigwa na Polisi
Juni 26 mwaka huu huko Mbezi, Kimara jijini Dar.
Akizungumza na mwandishi wetu, Hamidu alisema “Basi letu lina
madereva wawili, zamu yangu ilikuwa imeisha, tulipofika Kimara tulikuta
foleni, nikaamua kushuka ili kutazama sababu ni nini, niliporudi
nikakuta basi
↧