Jeshi la Nigeria limesema kuwa limekishambulia kituo
cha ujasusi cha wapiganaji wa Boko Haram kinachodaiwa kuhusika na
utekaji wa wasichana zaidi ya 200 nchini humo.
Hata hivyo taarifa za jeshi hilo zinasema kuwa kiongozi wa kituo hicho cha Boko Haram Babuji Ya'ari amekamatwa.
Ya'ari pamoja na kutuhumiwa kuhusika katika
utekaji wa wasichana hao lakini pia alihusika katika mauaji
↧