Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesema Mwenyekiti wa
Chadema, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa hawana sifa za
kugombea tena uongozi wa chama hicho kwa kuwa wanabanwa na katiba yao.
Akizungumza jana ofisini kwake baada ya kuzungumza
na Mbowe, Msajili Msaidizi, Sisty Nyahoza alisema walipata malalamiko
na kuyafanyia kazi, ikiwa ni pamoja na kupitia kumbukumbu
↧