Watu wengi wakiwemo mashabiki wa Wema na Diamond walitarajia kumuona
pamoja Wema Sepetu akimpa kampani mpenzi wake Diamond Platnumz ambaye
alikuwa anawania tuzo ya BET Awards 2014 huko Los Angels, Marekani.
Wema
alitarajiwa kuonekana kwenye red carpet ya BET kama ilivyokuwa kwenye
MTV Africa Music awards ambapo walikuwa wote S.Afrika na kina Aunty
Ezekiel na team ya Diamond
Hata
↧