Mmiliki wa Top Band, TID amegeuka mbogo baada Ray C kumuomba kupitia Instagram wazugumze.
Mwimbaji huyo ambaye anadaiwa kuwa mmoja wa wasanii wanaotumia dawa
za kulevya huenda alihisi Ray C anataka kumletea habari za kumsaidia
kuachana na matumizi ya dawa hizo kupitia Methadone.
“Come let’s talk Tid ur the best musian in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” Aliandika Ray C.
↧