USHIRIKINA umetajwa kwa mahabusu wa Gereza la Wilaya
ya Geita waliovua nguo mbele ya Mahakama ya Mwanzo ya Nyankumbu mkoani
hapa wakimshinikiza Mkuu wa Mkoa wa Geita (Said Magalula), Jaji Mkuu
(Mohammed Chande Othman) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Stephen
Werema) kusikiliza madai yao ya msingi.
Tukio hilo lilijiri Juni 26, mwaka huu saa 3:00 asubuhi ikiwa ni muda
mfupi baada ya
↧