Karani wa Mahakama ya Wilaya ya Singida, Asha Juma(24), ameuawa kwa kuchomwa kisu na mfanyakazi wake wa ndani.
Tukio hilo limetokea jana saa 4:00 asubuhi eneo la Sabasaba katika kata ya Utemini mjini Singida.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela
alisema mauti yalimfika karani huyo mara baada ya kuchomwa kisu sehemu
ya titi la kulia na mfanyakazi huyo wa ndani aitwaye
↧