Ni katika Mahakama ya Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya ambapo kesi ya
Sabina Njeri mwenye umri wa miaka 23 ambaye anakabiliwa na mashtaka ya
kumuua mume wake kwa kumchoma kisu baada ya kushindwa kumnunulia viatu
vyenye thamani ya shilingi za Kenya 1000 ambazo ni sawa na kama shilingi
elfu 18 za kitanzania.
Chini ya hakimu Heziah Kiago aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo inadaiwa
↧