Ndege Mnana, Linah ambaye kwa muda mrefu amekuwa kimya bila kuachia
wimbo mpya kabla ya kuachia remix ya wimbo wa Kizaizai wa Diamond
ameeleza sababu zinazomfanya aendelee kuishi maisha mazuri hata
anapokuwa hana wimbo mpya redioni kiasi cha kupunguza mfululizo wa
shows.
Linah alifunguka katika Power Jams ya East Africa Radio jana kuwa
sababu kubwa inayomfanya aendelee kung’aa mjini
↧