Msajili wa vyama vya siasa nchini, jaji Francisi Mutungi ameuagiza uongozi wa Chadema kuitisha baraza kuu ili waitishe mkutano mkuu.
Pia, amewazuia mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na katibu mkuu wake Dr. Wilbrod Slaa kugombea uongozi ndani ya chama hicho hadi pale watakapoafikiana kuhusu kipengele cha ukomo wa uongozi.
Uamuzi huo wa jaji Mutungi unakuja siku chache tuu baada
↧