Diamond amepiga hatua kubwa sana kwenye
muziki na ameusogeza muziki wa Tanzania katika level nyingine kwa
kushiriki tuzo za BET 2014.
Japokuwa hajabahatika kushinda tuzo hizo, lakini yapo
mengi aliyofaidika nayo Diamond ikiwa ni pamoja na kutengeneza
connection kubwa zaidi na inawezekana tukaja kusikia collabo kati ya
Diamond na msanii mkubwa wa kimataifa kama Nelly.
Diamond
↧