Kuna msemo wa Kiswahili uliozoeleka kuwa muwamba ngoma huvutia kwake.
Wazungu wenyewe wanasema uzuri upo kwenye macho ya anaeangalia kitu
hicho.
Baadhi ya mashabiki ambao hawaamini hayo yaliyoandikwa hapo juu
wamemshambuli kwa kejeli mrembo Amber Rose baada ya kupost picha ya
mpenzi wake rapper Wiz Khalifa kwenye Instagram na kumtaja kuwa mwanaume
mwenye mvuto zaidi duniani.
“The
↧
Mashabiki wamshambulia Amber Rose kwa kumtaja Wiz Khalifa kuwa mwanaume mwenye mvuto zaidi duniani
↧