Ugomvi wa Jaji Werema na Kafulila wachukua sura mpya baada ya wawili hao...
Mvutano kati ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema na Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila umechukua sura mpya baada ya mwanasheria huyo kugoma kupatanishwa huku...
View ArticleMzee wa kanisa Aumbuka baada ya kufumaniwa Gesti na kibinti kidogo kilicho...
Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka...
View ArticleAmina Maige akana Shitaka la kumchoma Pasi na Kumng'ata Mfanyakazi wake wa...
Mkazi wa Mwananyamala, Amina Maige(42) anayetuhumiwa kumng'ata mfanyakazi wake wa ndani, amepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika. Amina alisomewa...
View ArticleVideo ya Mdogomdogo..... Diamond aongeza swagga za farasi na watoto wa kizungu
Kila jua linapochomoza, hitmaker wa ‘My Number One’ huwa na jambo la kuwafanya mashabiki wamzungumzie na ndio maana kila siku Diamond amekuwa kwenye headlines mbalimbali. Akiwa na video...
View ArticleMwanamke aliyeasi dini ya kiislamu na kuolewa na Mkristo aachiwa huru...
Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa madai ya kuasi dini ya kiislam ameachiliwa huru baada ya kushikiliwa kwa mara ya pili. Meriam Ibrahimu alikwenda katika ubalozi wa Marekani uliopo mji Mkuu wa...
View ArticleKatibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini awavaa Zitto na Kafulila......Adai...
SAKATA linalohusu kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), limechukua sura mpya baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, kuwashambulia kwa maneno...
View ArticleBaraza la Mitihani labadili mfumo wa kupanga madaraja ya Ufaulu....Matokeo ya...
Matokeo ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA). Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya...
View ArticleWatu watatu wafariki dunia, kumi wajeruhiwa katika Ajali Ya Noah mkoani Singida
Watu watatu wamekufa na wengine kumi wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Noah kupasuka tairi ya nyuma na kubiringita mara tatu katika kijiji cha Januka manispaa ya Singida....
View ArticleSnura Majanga Alia na Rushwa ya Ngono.....
Msanii wa muziki na filamu Snura Mushi amebainisha kuwa rushwa ya ngono kwa wanawake ni kikwazo kikubwa kinachowakwamisha wanawake kutimiza ndoto zao... Snura aliamua kungukia...
View ArticleLulu Michael: Sina muda wa kumbembeleza Mwanaume coz wanaonitongoza kwa siku...
Wakati wanawake wengine wakionekana kubembeleza penzi na kujinyenyekeza kwa wapenzi wao ili wasiachike, Lulu Michael anasema hana muda huo kwani uzuri wake unatosha kuwavuta...
View ArticleMsanii Amini aanika Siri ya kufunga Ndoa ya fasta fasta.....Abadili Jina...
Mwanamuziki zao la nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Amini Mwinyimkuu amefunguka kuwa, aliamua kufunga ndoa ya fasta ili kuuwahi mwezi mtukufu wa Ramadhani. Akizungumza na mwanahabari wetu, Amini...
View ArticleHakika Uzee Mwisho Chalinze.....Mzee Magali Aukana UZEE, Asema bado ana nguvu...
Msanii wa filamu anayeweza kushika kipande chochote na kufanya vizuri, Charles Magali maarufu kama Mzee Magali amesema yeye si mzee bali anatumia jina hilo kwenye sanaa na bado ana...
View ArticleMungu hashindwi: Hatimaye Flora Mbasha na mumewe wapatana....... Mwanasheria...
Hakuna neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa. Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana. Kwa mujibu...
View ArticleMtoto wa miaka 13 aikoa Nigeria Kulipuliwa na bomu kubwa
Siku chache baada ya kutokea shambulizi kubwa la bomu katika soko kubwa ‘Mall’ jijini Abuja, Nigeria mtoto mwenye umri wa miaka 13 amesaidia kuwaokoa raia wa Nigeria kushambuliwa na bomu kubwa baada ya...
View ArticleBoko Haram waanza kuadhibiwa Kichawi......Nyoka wa Ajabu na Nyuki Wawatoa...
Wanajeshi wa Boko Haram wanaofanya mashambulizi na kuua raia wasio na hatia huko Nigeria wamedaiwa kuanza kukimbia msitu baada ya nyoka wenye sumu kali na nyuki kuwashambulia. Habari hizi zilielezwa na...
View ArticleMauaji yaelekezwa CCM......Mwenyekiti wa CCM kata ya Busambala Butiama auawa...
Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamemuua kinyama kwa kupiga risasi moja ya kichwani mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kata ya Busambala wilayani Butiama mkoani Mara Bw Willison Opio mwenye...
View ArticleMahari yazua balaa msibani.....Baba wa mtoto azuiwa kuzika, ngumi...
FAMILIA mbili mjini Mpanda zimejikuta zikiingia katika uhasama mkubwa, kiasi cha kupigana fimbo na ngumi makaburini katika ugomvi wa kugombea kuzika mwili wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu....
View ArticleHuyu ndo Mshindi wa tuzo ya BET iliyokuwa inawaniwa na Diamond Platnumz pia.
Hii ilikua siku nyingine muhimu kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ambapo yalikua yanasubiriwa matokeo ya tuzo ya BET sanasana kipengele wanachowania tuzo wasanii wa Afrika akiwemo Diamond Platnumz....
View ArticleManeno zaidi ya 60 aliyoyatoa Diamond baada ya tuzo ya BET aliyokuwa akiwania...
Baada ya mshindi wa tuzo ya BET 2014 kwa wasanii wa Afrika kutangazwa kuwa Davido wa Nigeria, staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliyekua anawania pia tuzo hiyo ameandika ya moyoni kwa watu wake....
View ArticleMagazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 30 Juni 2014
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 30 Juni 2014
View Article