Wakati wanawake wengine wakionekana kubembeleza penzi na kujinyenyekeza kwa wapenzi wao ili wasiachike, Lulu Michael anasema hana muda huo kwani uzuri wake unatosha kuwavuta wanaume wa kila aina kutoka katika kila kona ya Tanzania.....
Lulu amedai kuwa inawezekana mwanaume wa kwanza kwake ndo chaguo lake namba moja, lakini suala la kuanza
↧