Mwanamuziki zao la nyumba ya kukuza vipaji Tanzania
‘THT’, Amini Mwinyimkuu amefunguka kuwa, aliamua kufunga ndoa ya fasta
ili kuuwahi mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Amini ambaye amemuoa binti
aitwaye Farida Bashiri alisema ilikuwa vigumu kufanya sherehe kubwa
kwani lengo lilikuwa ni kumuingiza ndani haraka mke huyo ili amuandalie
futari pia.
“Ni
↧