Msanii wa filamu anayeweza kushika kipande chochote na kufanya vizuri, Charles Magali maarufu kama Mzee Magali amesema yeye si mzee bali anatumia jina hilo kwenye sanaa na bado ana nguvu kama za miaka 20 iliyopita.....
Alisema kuwa wapo vijana ambao wanaonekana ni wabichi lakini hawana nguvu kama zake, hivyo hawawezi kujifananisha naye hata kidogo,
↧