Hakuna neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa. Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na
mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, wawili hao walikalishwa kikao cha upatanishi mapema wiki hii kilichokuwa chini ya familia.
MANENO YA CHANZO
“Kikao cha familia kilikaa, Mbasha aliitwa
akafika,
↧