Siku chache baada ya kutokea shambulizi kubwa la bomu katika
soko kubwa ‘Mall’ jijini Abuja, Nigeria mtoto mwenye umri wa miaka 13
amesaidia kuwaokoa raia wa Nigeria kushambuliwa na bomu kubwa baada ya
kulishitukia na kutoa taarifa polisi.
Kwa mujibu wa msemaji wa polisi wa Kano, aliyejitambulisha kwa jina
la Magaji Majiya, mtoto huyo wa kiume alipata mashaka baada ya kuona
gari
↧