Msanii wa muziki na filamu Snura Mushi amebainisha kuwa rushwa ya ngono kwa wanawake ni kikwazo kikubwa kinachowakwamisha wanawake kutimiza ndoto zao...
Snura aliamua kungukia suala hilo ili kuwatetea wanawake wanaoombwa rushwa ya ngono ili kupewa kazi, kwa kusema ni kitendo cha kinyama kwani wengi wanakuwa ombaomba kwa sababu tayari wamekosa
↧