Watu watatu wamekufa na wengine kumi wamejeruhiwa baada ya gari
walilokuwa wakisafiria aina ya Noah kupasuka tairi ya nyuma na
kubiringita mara tatu katika kijiji cha Januka manispaa ya Singida.
Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo, mganga
mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Singida daktari Deogratias Banubasi
amesema wamepokea maiti mbili wakiwa wamesha fariki eneo la tukio
akiwemo
↧