Matokeo ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne
mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama
Edelevu (CA).
Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya mtahiniwa,
yatatokana na asilimia 30 ya Alama Endelevu na asilimia 70 ni mchango wa
Alama za Mtihani wa Taifa.
Asilimia 30 za Alama Endelevu, zitapatikana kutokana na mitihani
mbalimbali. Kwa
↧