Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa madai ya kuasi dini ya kiislam ameachiliwa huru baada ya kushikiliwa kwa mara ya pili.
Meriam Ibrahimu alikwenda katika ubalozi wa Marekani uliopo mji Mkuu wa Khartoum. Mumewe ana asili ya Sudan Kusini lakini kwa sasa ni raia wa Marekani.
Mwanamke huyo aliachiliwa baada ya kuhukumiwa
adhabu ya kifo siku ya jumatatu lakini alishikiliwa tena na
↧