Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamemuua kinyama kwa kupiga
risasi moja ya kichwani mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kata ya
Busambala wilayani Butiama mkoani Mara Bw Willison Opio mwenye umri wa
miaka 60 huku kichwa chake kikisambaratishwa kabisa na risasi hiyo.
Mauaji hayo ya kinyama yamefanyika saa saba usiku wa kuamkia jana,baada ya majambazi hayo kuvunja milango ya
↧