Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa
kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya
kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka
kuvunja amri ya sita na binti ambaye ni msanii chipukizi wa filamu za
Kibongo, Debora Jacob.
Tukio hilo ambalo kamwe Luca hawezi kulisahahu
maishani mwake, lilijiri kwenye gesti hiyo
↧