Mkazi wa Mwananyamala, Amina Maige(42)
anayetuhumiwa kumng'ata mfanyakazi wake wa ndani, amepandishwa
kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo
kukamilika.
Amina alisomewa maelezo hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni mbele ya Hakimu Yohana Yongolo.
Wakili
wa Serikali Tumaini Msikwa alidai kati ya Januari na Juni mwaka huu,
maeneo ya
↧