Tangazo la Nafasi za Mafunzo na Kazi toka RafikiElimu Foundation.....Ada ya...
Taasisi ya RafikiElimu Foundation kupitia MRADI WA WANAWAKE SALAMA TANZANIA inatangaza nafasi za mafunzo ya UANDAAJI NA UTENGENEZAJI WA VYAKULA-LISHE MAALUMU KWA WAGONJWA NA WENYE...
View ArticlePongezi kubwa kwa Jeshi la Polisi: Majambazi mawili Yauawa Geita baada ya...
Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa na bunduki aina ya SMG na bastola waliokuwa wakitumia pikipiki aina ya Sanlg yenye namba T460 CVQ wamevamia duka la Mpesa na kumuua mfanyabiashara...
View ArticleMahakama ya Malaysia yazuia kanisa katoliki kutumia neno 'Allah' kumaanisha...
Mahakama ya juu zaidi nchini Malaysia imelikataa ombi la kanisa katoliki nchini humo kubadili msimamo wake ili liweze kutumia neno ‘Allah’ kumaanisha Mungu kwa lugha ya kiarabu. Hata hivyo baada ya...
View ArticleNando atangaza kuacha kutumia dawa za kulevya (unga)....Asema bado anatumia...
Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Ammy Nando ameweka wazi kuwa alikuwa mmoja kati ya waathirika wa dawa za kulevya. Akiongea katika kipindi cha Hatua Tatu ha 100.5 Times Fm,...
View ArticleKimenuka CHADEMA: Tazama Picha 7 za Wanachama wa chama hicho wakiandamana na...
Ikiwa ni siku ya tatu tangu katibu wa Chadema mkoa wa Tabora kwa niaba ya wajumbe 82 kwa pamoja kuzungumzia maswala mbali mbali waliyosema yanatishia ustawi wa chadema, leo wameenda kwa msajiri wa...
View ArticleMagazeti ya Leo Alhamisi ya tarehe 26 Juni 2014
Magazeti ya Leo Alhamisi ya tarehe 26 Juni 2014
View ArticleJaji Werema amfananisha Mbunge Kafulila na TUMBILI.....Tafrani yaibuka,...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) tumbili. Kabla ya kutoa kauli hiyo,...
View ArticleTeam Wema, Team Kajala Kuvunjwa.....Yadaiwa ndo chanzo cha Ugomvi wa Wema...
Makundi mawili hasim ya wasanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja yajulikanayo kama 'Wema Team' na 'Kajala Team' yanatarajiwa kuvunjwa kwani ndio yameonekana...
View ArticleJWTZ kuanika tena zana zake za Kivita jijini Dar katika kongamano kubwa la...
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatarajiwa kufanya maonesho ya zana zake za kivita zinazotumiwa na askari wa nchi kavu kuanzia Julai 14 hadi 16, mwaka huu wakati wa kongamano kubwa la...
View ArticleLulu Michael, Tumuamini nani?......Kwa hili nakuona haupo Serious
Alisema eti aachwe kwanza, eti baada ya ule mkasa hataki kabisa kusikia habari za mapenzi.Amini usiamini , haukupita muda mrefu skendo za mapenzi zikaanza kuvuma tena. Tukaanza...
View ArticleDiana Kimaro akimbilia Shule, Amuacha Lulu akipigika mtaani.
Baada ya kuwa marafiki kwa muda mrefu, Diana ameamua kumwacha mwenzake Lulu kwenye mitaa akipiga misele na yeye kukimbilia shule kuendelea na kidato cha tano..... Diana amesema...
View ArticleMtuhumiwa wa Wizi wa Pikipiki aokolewa na Askari Polisi Moshi
Askari polisi wa kituo kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumuokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao walikwishaanza kujichukulia sheria mkononi kwa kumuadhibu...
View ArticleTaarifa ya Kanusho la kufariki kwa Mbunge Shukuru Kawambwa
Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu Masikitiko yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge...
View ArticleUchaguzi Mkuu CUF: Profesa Lipumba na Maalim Seif WAPETA katika nafasi zao za...
Mkutano Mkuu wa CUF Taifa umemchagua tena Katibu Mkuu wa Chama hicho kuendelea na wadhifa huo kwa kupata kura 675, sawa na asilimia 99.5 ya kura zilizopigwa. Mkutano huo pia umemchagua Prof. Ibrahim...
View ArticleCheki hii picha ya Professor Jay akiwa enzi zake za zamani
Hii ni Picha ya Professor Jay ambayo kaishare ikimuonyesha yupo na mdogo wake enzi zao za zamani. <!-- adsense -->
View ArticleHii ndiyo nguo atakayovaa Diamond kwenye red Carpet ya BET Awards
BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye Red Carpet itakayo tumiwa na wasanii...
View ArticleMajibu Ya Diamond Kwa Wanaodai Aliwaibia Nyimbo Ukiwemo Mdogomdogo alioutoa juzi
Mwanamuziki Diamond amefunguka kuhusu madai ya baadhi ya wasanii kuwa aliwaibia idea au nyimbo zao na kuzifanya zake. Ameeleza kuwa malalamiko yao hayana ukweli kwa kuwa kuna maneno ambayo...
View ArticleSakata la Mwanafunzi wa darasa la Saba aliyebakwa na kulawitiwa na wanaume...
Denti mmoja wa kike wa darasa la saba anayesoma katika Shule ya Msingi Chanzige B iliyopo Kisarawe, Pwani amejikuta katika wakati mgumu baada ya kulawitiwa na kusababishiwa maumivu makali sehemu zake...
View ArticleSerikali yapiga Marufuku tabia ya Trafiki kuvizia magari barabarani kwa...
Serikali imepiga marufuku tabia ya askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, kuvizia magari katika barabara kuu wakiwa na kifaa cha kupima mwendo kasi wa magari. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
View ArticleWema Sepetu na Penny Wagongana Studio.....Kila mmoja amkwepa mwenzake
Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa...
View Article