Ikiwa ni siku ya tatu tangu katibu wa Chadema mkoa wa Tabora kwa niaba
ya wajumbe 82 kwa pamoja kuzungumzia
maswala mbali mbali waliyosema yanatishia ustawi wa chadema, leo wameenda
kwa msajiri wa vyama pamoja na mkaguzi wa mahesabu ya serikali CAG.
Mapema
leo wamekwenda kwenye ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa na kukabidhi
barua yenye malalaiko mbali mbali juu ya walichokisema
↧