Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Ammy Nando
ameweka wazi kuwa alikuwa mmoja kati ya waathirika wa dawa za kulevya.
Akiongea katika kipindi cha Hatua Tatu ha 100.5 Times Fm, Nando
amesema alikuwa anatumia dawa hizo za kulevya kwa muda mrefu na kwamba
hadi leno ni wiki ya 16 tangu afanye uamuzi wa kuacha.
Akizungumzia sababu zilizompelekea kutumia dawa za
↧