Mahakama ya juu zaidi nchini Malaysia imelikataa ombi la
kanisa katoliki nchini humo kubadili msimamo wake ili liweze kutumia
neno ‘Allah’ kumaanisha Mungu kwa lugha ya kiarabu.
Hata hivyo baada ya mahakama hiyo kutoa amri yake, serikali ya nchi
hiyo ilitoa tamko lake kwa vyombo vya habari Jumatatu wiki hii ikieleza
kuwa amri hiyo ya mahakama itatumika tu kwenye magazeti ya kanisa
↧