Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa na bunduki aina ya SMG na bastola waliokuwa wakitumia pikipiki aina ya Sanlg yenye namba T460 CVQ wamevamia duka la Mpesa na kumuua mfanyabiashara Gosbert Kulwa(59) mkazi wa Tambukaleli mjini Geita.
Kamanda wa polisi mkoani Geita Joseph Konyo amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa 11.30 jioni katika eneo la benki ya NMB ambapo
↧