Alisema eti aachwe kwanza, eti baada ya ule mkasa hataki kabisa kusikia habari za mapenzi.Amini usiamini , haukupita muda mrefu skendo za mapenzi zikaanza kuvuma tena.
Tukaanza kusikia habari za kina fulani zikihusishwa na yeye.Alianza yule jamaa handsome asiyekuwa na jina kubwa.Bila kujulikana alipotokea akaibuka na kusema alikuwa na
↧