JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatarajiwa kufanya maonesho ya zana zake za kivita zinazotumiwa na askari wa nchi kavu kuanzia Julai 14 hadi 16, mwaka huu wakati wa kongamano kubwa la kijeshi ambapo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo nchini.
Kampuni zaidi ya 30 zinazotengeneza silaha na vifaa vya kijeshi
kutoka ndani na nje ya nchi
↧