Makundi mawili hasim ya wasanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja yajulikanayo kama 'Wema Team' na 'Kajala Team' yanatarajiwa kuvunjwa kwani ndio yameonekana kuchochea bifu la wawili hao ambalo limekuwa likionekana kuisha na kuibuka tena....
Akizungumza na mwanahabari wetu, Kajala amesema kuwa tatizo lao limekuwa likichochewa na
↧