Baada ya kuwa marafiki kwa muda mrefu, Diana ameamua kumwacha mwenzake Lulu kwenye mitaa akipiga misele na yeye kukimbilia shule kuendelea na kidato cha tano.....
Diana amesema kuwa asingeweza kuishi maisha ya anasa na umaarufu bila shule, hivyo anaamini baada ya elimu nzuri hata sanaa atakayokuwa anaifanya itakuwa tofauti na ile ya wengine
↧