Majambazi Yamuua Sista wa Kanisa Katoliki kwa Risasi jijini Dar na kisha...
Mwili wa Sista baada ya kupigwa risasi. Majambazi watatu wamemuua kwa kumpiga risasi kichwani Mhasibu wa Kanisa Katoliki, Usharika wa Makoka, jijini Dar es Salaam, Sista Prisencia Kapuli na kisha...
View ArticleMbowe avitaka Vyama Vinavyounda UKAWA Vijiimarishe Kivyake pasipo kutegemea...
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu ujao, vimeambiwa kila kimoja kijiimarishe kivyake katika mapambano ya kisiasa....
View ArticleSakata la Kanga Moko Kupigwa Risasi: Mama Mazazi wa Mabinti hao Asimulia...
Mama mzazi wa binti aliyesababisha wasichana wawili kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na polisi baada ya kushiriki ngoma maarufu ya Kanga Moko iliyopigwa marufuku, huko Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es...
View ArticleMikutano ya Nape Nnauye yapigwa Marufuku Mtwara.......Alalamika na kusema...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ameonja chungu ya uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara katika mikoa ya Lindi na Mtwara baada ya kushindwa kufungua mashina ya chama hicho...
View ArticleFlora Mbasha na Mumewe Waanza Kusaka Suluhu ya Ugomvi wao baada ya kukubali...
Kuna kila dalili kwamba mwimbaji maarufu wa muziki wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha wanatamani kurudiana, baada ya kuwapo mgogoro katika uhusiano wao wa ndoa, ulioingia katika...
View ArticleMchungaji Adaiwa Kumtorosha Mwanamke
Mchungaji mmoja wa kanisa la kiroho la Biblical lililopo Kinondoni jijini Dar es Salaam (jina tunalo), anadaiwa kumtorosha mwanamke aitwaye Catherine Paul (28) ambaye ni mfanyabiashara wa duka Tegeta...
View ArticleAJIRA: Haya ni Majina ya Walimu Wapya ( na vituo vya kazi ) waliohitimu vyuo...
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI imewapangia vituo vya kazi ya ualimu walimu waliohitimu Vyuo vya Ualimu Mwaka 2013 kuchukua nafasi za walimu ambao hawakuripoti katika vituo walivyopangiwa kwa ajira ya...
View ArticleMajina ya Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne na Kuchaguliwa Kujiunga na...
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya...
View ArticleMauaji Mengine yawakuta Wakenya.....Watano wamevamiwa na kuuawa usiku wa...
Takriban watu watano wameuawa katika shambulizi jingine katika eneo la pwani ya Kenya usiku wa kuamkia leo. Mauaji hayo yametokea karibu na eneo ambako mashambulizi mengine yalifanyika wiki jana...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 25 June 2014
Magazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 25 June 2014
View ArticleMwanamke aliyehukumiwa Kifo Baada ya kukubali kuolewa na Mkristo nchini Sudan...
Meriam akiwa na mwanaye Maya, kushoto ni mumewe Daniel Wani aliyempakata mtoto wao wa kiume Martin na wadau waliopigania mama huyo kuachiwa huru kabla ya kukamatwa tena *** Mwanamke Meriam Ibrahim...
View ArticlePolisi Yatangaza Msako Mkali kwa watu waliomuu Sista wa Kanisa...
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50),...
View ArticleSerikali Yajibu hoja ya Ukosefu wa Ajira Nchini.....Yatumia Mawaziri wanne...
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu tatizo la ajira nchini, huku wanasiasa waliozungumzia tatizo hilo kuwa ni bomu, wakitakiwa kutoa ushauri wa namna ya kulitegua au kupunguza athari zake kama likilipuka....
View ArticleKajala Masanja: Sina hamu ya kuendelea kuishi Tanzania
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi nchini kutokana na kuzushiwa mambo kila kukicha. Akizungumza na...
View ArticleCHADEMA yakumbwa na Majanga tena...Vigogo 82 wawatolea Uvivu Mbowe na Slaa,...
BAADA ya kujaribu kuficha migogoro nyuma ya kichaka cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hatimaye bundi wa migogoro ameibuka tena ndani ya CHADEMA. Kwa muda mrefu sasa, kumekuwemo mvutano...
View ArticleBaby Madaha : "Wema Sepetu Tuachie Na Sisi Huyo Diamond Tumfaidi "
Star wa filamu na muziki wa Bongoflava Baby Madaha anadaiwa kuwewesekea penzi la Diamond Platnumz na kumtaka Wema Sepetu awaachie na wao Diamond a.k.a Sukari ya warembo ili wafaidi kama anavyojiachia....
View ArticleKitale akanusha kutoka Kimapenzi na Penny ambaye aliwai kuwa mpenzi wa zamani...
Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani...
View ArticleMapacha wamjibu Lulu Michael baada ya kukana kuimba kwenye wimbo...
Baada ya Elizabeth Michael kukana kushirikishwa na kundi la mapacha kwenye wimbo wao mpya ‘Time For The Money’, Kundi la Mapacha limeeleza jinsi lilivyoipokea taarifa hiyo. Akiongea na Times Fm,...
View ArticleBatuli: Sijawahi kula hela ya mume wa mtu na kamwe siwezi kuugeuza mwili...
Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya fillamu Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka na kudai kuwa hajawahi kula hela ya mume wa mtu na kama watu wanamhisi hivyo basi...
View ArticleTunaomba Radhi kwa Picha: Kikongwe auawa kinyama kwa kukatwa Shoka kichwani...
Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani kwa kile kinachohisiwa kuwa ni imani za Kishirikina. Kwa mujibu wa...
View Article