Baada ya Elizabeth Michael kukana kushirikishwa na kundi la mapacha
kwenye wimbo wao mpya ‘Time For The Money’, Kundi la Mapacha limeeleza
jinsi lilivyoipokea taarifa hiyo.
Akiongea na Times Fm, Kulwa wa Mapacha amesema kitendo
alichokifanya Lulu ni dharau kubwa kwao na kwamba inawezekana ameona
hataki kusikika kwenye wimbo waliofanya wao.
“Sisi tuliamua kumtaja kwa respect kwa
↧