Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya fillamu Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka na kudai kuwa hajawahi kula hela ya mume wa mtu na kama watu wanamhisi hivyo basi watakuwa wanakosea sana.....
Batuli alitoa kauli hiyo ili kuwathibitishia mashabiki wake juu ya kauli mbovu za watu kuwa urembo wake unategemea mtaji wa mwili wake
↧