Star wa filamu na muziki wa Bongoflava Baby Madaha anadaiwa kuwewesekea
penzi la Diamond Platnumz na kumtaka Wema Sepetu awaachie na wao Diamond
a.k.a Sukari ya warembo ili wafaidi kama anavyojiachia.
Chanzo
kimoja kilicho karibu na Baby Madaha ambacho pia kinafanya juu chini
kuwika katika filamu kwa masharti ya kutotajwa jina lake kikizungumza na
Swahiliworldplanet wiki iliyopita
↧