BAADA ya kujaribu kuficha migogoro nyuma ya kichaka cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hatimaye bundi wa migogoro ameibuka tena ndani ya CHADEMA.
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwemo mvutano kutokana na kile kinachodaiwa ukiukwaji wa Katiba na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za chama.
Hatua hiyo ilisababisha baadhi ya viongozi wakiwemo wa ngazi za juu kuvuliwa uanachama na
↧