Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo
kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi nchini
kutokana na kuzushiwa mambo kila kukicha.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko wikiendi iliyopita, mwigizaji huyo
alisema anapenda awe na maisha ya furaha na wanawake wenziye kwa
kubadilishana mawazo ya hapa na pale lakini kwa sasa hana upendo huo
↧