Mama mzazi wa binti aliyesababisha wasichana wawili kujeruhiwa kwa
kupigwa risasi na polisi baada ya kushiriki ngoma maarufu ya Kanga Moko
iliyopigwa marufuku, huko Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam,
amefunguka na kusema kuwa hakukuwa na sherehe yoyote nyumbani kwake siku
hiyo ya tukio.
Mama huyo, Rehema Aziz alisema waliojeruhiwa walikuwa wakisherehekea
kuolewa kwa mwanaye
↧