Mchungaji mmoja wa kanisa la kiroho la Biblical
lililopo Kinondoni jijini Dar es Salaam (jina tunalo), anadaiwa
kumtorosha mwanamke aitwaye Catherine Paul (28) ambaye ni mfanyabiashara
wa duka Tegeta jijini Dar.
Habari zinadai kuwa, wakati akiendelea na biashara hiyo, Catherine alipata ugonjwa wa ajabu ambapo alionekana mnyonge.
“Tunasikia alimshirikisha rafiki yake wa karibu, Victor
↧