Vyama Vingi Vya Siasa nchini Vyamkuna Rais Kikwete....Asema vimeleta...
Rais Jakaya Kikwete amesema mfumo wa vyama vingi vya siasa ni mzuri, umeleta matumaini kwa kupanua wigo na kufungua zaidi uwanja wa kisiasa na kuiwajibisha Serikali. Hata hivyo, Rais Kikwete amesema...
View ArticleRais wa Malawi aoa kwa Shilingi Milioni 155
Baada ya miaka 30 ya kuishi bila ya ndoa, Rais mpya wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, hatimaye amefunga pingu za maisha na mbunge wa zamani wa Jimbo la Balaka, Gertrude Maseko. Kabla ya ndoa yao...
View ArticleSkendo zamuhamisha nchi Agness Masogange
Siku chache baada ya Agness Gerard 'Masogange' kukimbilia nchini Afrika Kusini 'Sauzi' kwa kile alichodai ni kutafuta maisha mazuri, rafiki wake wa karibu aliyejitambulisha kwa jina la Jenifer...
View ArticleSerikali ya Kenya yawataka Wakenya kuangalia mechi za Kombe la dunia nyumbani.
Serikali ya Kenya imewataka wananchi kuangalia mechi za michuano ya kombe la dunia katika maeneo ya majumbani badala ya sehemu za wazi zilizojazana na ambazo hakuna ulinzi. Ushauri huo umetolewa...
View ArticleKauli ya Uganda baada ya kuwekewa vikwazo na Marekani kwa kupinga ushoga
Katibu mkuu wizara ya mambo ya nje wa Uganda, Balozi James Mugume, amesema kuwa Uganda haitishwi na vikwazo ilivyowekewa na Marekani kama hatua ya kupinga sheria yake kali kuhusu Ushoga. Kwa mujibu...
View ArticleWema Sepetu Afunguka Kwa Uchungu baada Ya watu Kumtukana Mama Yake Mzazi
Wema Sepetu ameonekana kufungukia wale wanaomtukana kila siku na sasa kufikia hatua ya kumtukana hadi mama yake mzazi... Kupita mtandao mmoja wa kijamii, Picha moja ya mama mzazi wa Wema Sepetu...
View ArticleMbasha Anena: Asema Maisha ya Jela hayafai hata kidogo
Kufuatia Mahakama ya Ilala jijini Dar kumuachia kwa dhamaa Emmanuel Mbasha ambaye ni mume wa muimbaji wa nyimbo za Injili maarufu nchini Flora Mbasha anayekabiliwa na tuhuma...
View ArticleKondomu zakutwa kwenye ukumbi wa bunge
Inaweza kuonekana ni kituko cha aina yake, lakini ni kweli kimetokea kwenye Ukumbi wa Bunge la Kaunti ya Nairobi na kuwaacha wabunge vinywa wazi. Katika hali isiyo ya kawaida, boksi la kondomu...
View ArticleDr. Reginald Mengi Akava Jarida La Forbes Africa La July.... K-Lyinn...
Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Dr. Reginald Mengi amekava jarida la Forbes Africa la mwezi July kama mfanyabiashara aliyefanikiwa zaidi kutoka kutembea peku hadi kuwa na utajiri wa zaidi ya...
View ArticleKampuni Mbili za Umeme kuanzishwa badala ya TANESCO
Mpango wa kuligawa Shirika la Umeme (Tanesco) kuwa mashirika mawili umeiva, baada ya Serikali kupitisha Mkakati na Mwelekeo wa Sekta Ndogo ya Umeme (ESI). Mpango huo utekelezaji wake unaanza Agosti...
View ArticleWiki ya Majibu ya Waziri wa Fedha Yaanza
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, anasubiriwa wiki hii kutegua kitendawili cha hoja za wabunge, kuhusu punguzo la kodi katika mishahara, vyanzo vipya vya mapato na utekelezaji wa miradi wa...
View ArticleSekretarieti ya Ajira Yazipa Rungu Serikali za Mitaa
Serikali za mitaa zitaruhusiwa kuanza kuajiri watumishi wa baadhi ya kada za chini katika mwaka wa fedha wa 2014/2015. Akihojiwa katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye viwanja vya Mnazi...
View ArticleMzee Majuto: Maisha Yangu ni Komedi tosha
Mchekeshaji wa muda mrefu Amri Athuman 'Mzee Majuto' ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa maisha yake ni komedi tosha kutokana na kumvunja mtu mbavu bila kujali yuko...
View ArticleHii ni Aina Mpya ya Uhalifu wa Kimtandao inayokuja kwa Kasi nchini Tanzania
Miongoni mwa makosa yanayofanyika mtandaoni ni hili lijulikanalo kama “Phishing” ambapo kosa hili limekuwa likidumu na kukua kwa kasi sana katika nchi mbali mbali. Nchi mbali mbali zimechukulia...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 23 Juni 2014
Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 23 Juni 2014
View ArticleJamaa anusurika Kunyofolewa Jicho baada ya kufumaniwa akingonoka na Mke wa...
Mkazi wa Mtaa wa Lagos, Wazo Mivumoni, Msitu wa Pande jijini Dar es Salaam, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42) Jumatano iliyopita alikumbwa na majanga baada ya mwanaume aliyejulikana kwa jina la Yusuf Ally...
View ArticleKichanga Chatupwa kwenye Dampo la Taka
Kichanga kinachokadilwa kuwa na umri wa miezi kati ya 6-7 kimekutwa kimetupwa kwenye dambo karibu na mahakama ya mwanzo mkabala na ofisi za manispaa ya Iringa, mkoani Iringa na mwanamke mmoja ambaye...
View ArticleMwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Sudan kwa kuasi dini ya Kiisilamu na...
Mwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Sudan kwa kuasi dini ameachiliwa huru. Wakili wake ameambia BBC kuwa mwanamke huyo aliyekiuka dini kwa kwa kuolewa na mwanamume mkristo aliachiliwa huru Jumatatu...
View ArticleWatoto kuanzia Umri wa Miaka 10 wataanza kupewa Kondomu Bure na dawa za...
Kuna sheria mpya inatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Senet ambayo sheria hiyo itawaruhusu watoto kuanzia miaka 10 kupewa mipira ya kondomu na dawa za kupanga uzazi. Sheria ya afya ya uzazi ya...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 24 Juni 2014
Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 24 Juni 2014
View Article