Inaweza kuonekana ni kituko cha aina yake, lakini ni kweli
kimetokea kwenye Ukumbi wa Bunge la Kaunti ya Nairobi na kuwaacha
wabunge vinywa wazi.
Katika hali isiyo ya kawaida, boksi la kondomu
lilikutwa ndani ya ukumbi huo na kuwashtua wabunge wote akiwamo spika wa
bunge hilo.
Mwakilishi wa eneo la Karura, Kamau Thuo ndiye
aliyekuwa wa kwanza kuliona boksi hilo na kuwashtua
↧