Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Dr. Reginald Mengi amekava
jarida la Forbes Africa la mwezi July kama mfanyabiashara aliyefanikiwa
zaidi kutoka kutembea peku hadi kuwa na utajiri wa zaidi ya $550 million
(Barefoot to $550 Million).
Dr. Mengi ambaye December mwaka jana alitajwa na jarida hilo akishika
nafasi ya pili kama mmiliki binafsi wa vyombo vya habari tajiri Afrika
↧