Wema Sepetu ameonekana kufungukia wale wanaomtukana kila siku na sasa kufikia hatua ya kumtukana hadi mama yake mzazi...
Kupita mtandao mmoja wa kijamii, Picha moja ya mama mzazi wa Wema Sepetu iliyotengenezwa na kuwa CHAFU ilitolewa na kisha kuanza kushushiwa matusi mazito...
Baada ya Picha na Matusi hayo, Wema amefunguka kwa uchungu kwa kuandika:
"Dah...!
↧