Katibu mkuu wizara ya mambo ya nje wa Uganda, Balozi James Mugume,
amesema kuwa Uganda haitishwi na vikwazo ilivyowekewa na Marekani kama
hatua ya kupinga sheria yake kali kuhusu Ushoga.
Kwa mujibu wa BBC, Balozi Mugume ameelezea kuwa serikali ya Uganda
hata hivyo itafanya mazungumzo na Marekani ili kufafanua hatua
waliyochukua.
Amesisitiza kuwa wataieleza Marekani sheria hiyo
↧