Baada ya miaka 30 ya kuishi bila ya ndoa, Rais mpya wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, hatimaye amefunga pingu za maisha na mbunge wa zamani wa Jimbo la Balaka, Gertrude Maseko.
Kabla ya ndoa yao iliyofungwa jana kwenye Kanisa la Mtakatifu Michael na Malaika Wote jijini Blantyre, Maseko aliwahi kuolewa, lakini ndoa yake ilivunjika miaka kumi iliyopita; na mwaka jana mume wake huyo,
↧