Siku chache baada ya Agness Gerard 'Masogange' kukimbilia nchini Afrika Kusini 'Sauzi' kwa kile alichodai ni kutafuta maisha mazuri, rafiki wake wa karibu aliyejitambulisha kwa jina la Jenifer ameibuka na kuweka kila kitu hadharani juu ya nini kilichomkimbiza mrembo huyoJennifer alisema kuwa kilichomuondoa nchini mrembo huyo ni vidole vya watu ambao wamekuwa wakimnyooshea kila alipopita
↧